Top Ad 728x90

Wednesday 17 February 2016

Shilole Afunguka...'Kuiba Waume za Watu Sijazoea Je Kwa Huyu Kuna Mtu Kaibiwa? '

Baada ya kile kinachoonekana Shilole amepata pumziko jipya baada ya kutemana na Nuhu Mzwanda, leo ameweka picha akiwa na jamaa huyo na kuuliza swali kwa wadau kama kuna mtu kaibiwa....

Ameandika hivi

Shilolekiuno
Kuiba Waume za watu sijazoea! Je kuna mtu kaibiwa???

0 comments:

Post a Comment

Top Ad 728x90