TIMU
za Toto Africans na Kagera Sugar zimetoka sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja
wa CCM Kirumba Mwanza, ambapo Toto Africans ilitangulia kufunga bao
dakika ya 24 mfungaji akiwa Japhary Vedastus.
Mfungaji alimalizia kazi nzuri ya Miraji Athumani kabla ya Kagera kusawazisha dakika ya 66 mfungaji akiwa Mbaraka Yusuph.
Kikosi kilichoanza cha Timu ya Toto Africans cha Jijini Mwanza dhidi ya Kagera Sugar

0 comments:
Post a Comment