Top Ad 728x90

Sunday 21 February 2016

Hii tafiti Noma Ijue..Mikoa Inayoongoza Kwa Uvivu Tanzania........

Pamoja na serikali kuweka bidii ktk kuwaletea maendeleo wananchi lakini moja ya kikwazo ni tabia ya uvivu ya wananchi.

Serikali inatakiwa kujenga miundo mbinu na wananchi kupitia miundo mbinu hiyo wajiletee maendeleo.

Insemekana mikoa ifuatayo inaongoza kwa uvivu.

1. Dodoma
2. Mtwara
3. Lindi
4. Pwani
5.Tabora
6. Tanga
7. Dar es Salaam
8. Morogoro

Hii mikoa serikali inatakiwa iwekeze kwenye elimu na kazi

Unaweza ongeza mikoa mingine unayo ifahamu.

** wageni wameshikilia maendeleo

0 comments:

Post a Comment

Top Ad 728x90