Top Ad 728x90

Sunday 21 February 2016

MAPENZI MAPENZIIIIIIIIIIII..........Nipo ‘Single’, Akitokea Kijana Mwenye Malengo Nipo Tayari – Unajua Ni Nani Kasema Haya?


Msanii mkongwe wa filamu, Johari Blandina Chagula amesema kwa sasa hayupo wenye mauhusiano ya mapenzi na mtu yoyote ila akijitokeza kijana mwenye sifa yupo tayari.
Johari

Muigizaji huo ambaye ni Mama wa mtoto mmoja, amekiambia kipindi cha Enewz cha East Africa Television Ijumaa hii, kuwa yupo tayari kuingia kwenye mahusiano kama atatokea mtu sahihi.

“Mimi kwa sasa nipo mwenyewe (Single) akitokea kijana mwenye malengo na mwenye dhamira ya kweli nipo tayari kuwa naye,” alisema Johari.

0 comments:

Post a Comment

Top Ad 728x90